BACK TO SCHOOL
8:31 AM |
MTAJI WA MASIKINI NI NGUVU ZAKE MWENYEWE,kubeba zege siwezi na wala sipendi acha nijaribu shule mie.Kwa rehema zake muumba nimeweza kumaliza degree yangu ya kwanza miezi michache iliyopita na kupata admission ya masters.Sina budi kuunganisha hii shule.Mambo yangu ni mengi na majukumu yananiandama.
Huruma ya pekee kwa mwanangu,nilimuacha home akiwa na siku tano tu nikarudi kuendelea na shule,sasa ikaisha hii nikaanza nyingine.Shukrani kwa mama yangu kwa kunilelea mwna na zaidi kwa kuniamini.....aisee huyu bibi ana ndoto kila siku kwamba ataniona nasoma PhD.
Mengi niyapendayo yako pembeni sasa,shule imenibamba ile mbaya.Si natafuta uboss.........!
Subscribe to:
Posts (Atom)