RSS

out and about


  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

out and about


  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

out and about


  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

night out


  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

low key


  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

Dinner date


  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

PLAYDATE NA WATOTO WANGU




My Karen,Noreen na Nancy



Nasukuma nimeshikilia roho yangu


Mommie na watoto

Mommie,Karen and her classmet

Mama mzigoni,ni kulizungusha hilo bembea na watoto


Karen and her classmet

Me and my big sis

Mommie

With Karen and Noreen


Mwisho wa mchezo.kwa uchovu huo mtu lazima alale na pampers

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

Maji kwa afya



  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

night out

night out

Balmain black pants
£2,826 - stylebop.co.uk

Yves Saint Laurent oversized jewelry
£510 - net-a-porter.com

Amrita Singh 18k jewelry
$100 - amritasingh.com

Panacea hoop earrings
$22 - cusp.com

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

street style

street style

Hello Kitty bow top
$25 - delias.com

Cut off shorts
$50 - etsy.com

Converse shoes
$112 - etsy.com

Armani Exchange strap sandals
$58 - armaniexchange.com

A P C leopard tote bag
$150 - lagarconne.com

Rubber jewelry
$5 - hottopic.com

Friis Company plastic jewelry
€15 - shopfriiscompany.com

Disney Couture collar necklace
£1.95 - truffleshuffle.co.uk

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

Girls night out

Girls night out

SuperTrash yellow shirt
€70 - welikefashion.com

Dorothy Perkins high heel shoes
$89 - dorothyperkins.com

High heels
£65 - riverisland.com

Elliott lucca handbag
€112 - pret-a-beaute.com

Tiffany Co 18k jewelry
$1,365 - bluefly.com

Aqua turquoise jewelry
$28 - bloomingdales.com

Mango oversized jewelry
£13 - mango.com

Chanel earrings
fashion.1stdibs.com

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

MAISHA NA UNACHOKIPENDA

Unaishije? unapenda unachokifanya katika maisha?

Leo nimeamka nimechelewa kidogo,nahitajika kwenda kazini lkn nafsi yangu inahitaji kufanya kitu kingine. Sio kama sitaki kazi,naipenda sana kazi yangu na ndio sababu ya kila kitu nilichonacho kwenye maisha yangu na familia yangu.

Lakini kuna kitu kingine ndani yangu, sijui kilanzia wapi lkn kina nafasi kubwa moyoni mwangu. Hiki hakitokani tu na hali ya maisha na nini nahitajika kufanya kwa ajili ya maisha bali ni kitu ambacho nakihisi moyoni na naamini kukifanya ndio maana yamm kusema nayaishi maisha yangu. Ni ngumu kukiweka kwenye neno moja lkn nijaribu hivi BIASHARA YA UREMBO NA MITINDO. Hii ni kuanzia mywele mpaka miguu.

Kwa hali halisi hii biahsara tayari ina wengi sana sokoni na changamoto zake ni nyingi, lakini naamini nami nina nafasi yangu  jamni.Kila ninayeweza kumshirikisha katika hili la kwanza kbs kukosoa ni wingi wa watu wanaofanya hii kitu,unaaambiwa kwani biashara ni hiyo tu hamna ingine? Ni kweli nimejaribu kuzifikiria km biashara za keki na upambaji katika masherehe,nazipenda lkn siioni nafsi yangu huko.

Nilishajaribu hii kitu mara moja,matokeo hayakuwa mazuri sana lkn nilijifunza mengi na kila siku natamani nifanye tena. Naweza sema naanza kujipanga leo ili mwezi fulani nianze lkn mara litatokea hili mara lile.

Na kubwa zaidi ni jamii yangu inayonizunguka,kila ninalofanya nafanya kwa ajili ya watu wangu, napenda shule hila ukiniuliza kwann unasoma sijui km ntakuwa na jibu sahihi.....hebu nijaribu nasoma ili kuwa na ufahamu mkubwa( kwa ufahamu tu si ht degree ingenitosha jamani), kuwa na kazi nzuri na maisha mazuri na nasoma kwasababu baba na mama yangu wanaamini elimu ni kila kitu kwangu na wana imani kubwa juu yangu kuhusu hilo sasa nisingependa kuwaangusha ( baba yangu kila siku wimbo wake kwangu ni huu angalau masters mama...jitaidi sana mwanangu usiniangushe) na tena sasa kwa kuwa nina mtoto na naona kazi nzuri yenye mshahara wa lazima kila mwezi ni security ya maana kwa maisha ya mwanangu. Alafu Biashara mtaji bwana hila kuna muda ukifikiria hata kukopa sasa alafu mara biashara isisimame haraka sasa alafu mshahara unakatwa deni .......Mungu wangu mwanangu anaishije hapo.....hahaahhahhahahahhaaha. Hii ni juu ya jamii,wazazi,familia na mwanangu. Kuhusu mimi na furaha yangu je?????????

Mawazo yalikuwaga hvi,naenda nje kununua mzigo,mbayo kweli nilienda,nazifanyia matangazo kwa watu kuzivaa na kupiga picha (kwa sababu ni nwanzo labda ni mm mwenyewe na camera yangu) kitu ambacho kilifanikiwa kwa asilimia 10 (story nyuma ya hii ni kwamba hata camera yenyewe sikununua na nilirudi safari ht nguvu ya kupiga hzo picha haikuwepo,picha zilizopigwa ni zile za marafiki zangu wa karibu sana walionunua vitu wakawa wanapiga kwa simu yangu then zinawekwa kwenye blogs ambayo na yenyewe hii ilifanikiwa kwa asilia km 20 tu.( hzo picha zilzopigwa na camera ya simu tena kwa mtu mmoja mmoja aliyejisikia tu kupiga si za matangazo hvyo ziliishia kwenye kablog kangu mwenyewe.....duh tena kwa kutumia computer ya ofisi jamani...hhahhahahah (nijicheke) Najipanga upya sasa,njia ni hiyo hiyo sema kuna vichochoro vingi vimeongezeka,nataka kuanza upya, japo mm kupiga picha nimevaa kibukta na kuitundika kwenye mtandao mdingi wangu atataka kunitoa kichwa.

Nimechoka kuamka kila siku au kuchelewa kulala kwa sababu ya kusoma blogs za fashion,kutengeneza picha kichwani mwangu za hiki kivaliwe na hiki,mara hiki kiweke hvi ,nywele nzuri ni zipi,zinafanyajwe n.k achilia mbali kupanga hata bei ya hvyo ninavyofikiria na kila mara kuangalia bei za nauli za kwenda huko kwa kufata mizigo.

Ni km naiona nafsi yangu,mashopping ya kufa mtu mara USA,THAILAND,CHINA,DUBAI n.k,full kunga'aa, bidhaa za ukweli nywele,nguo,vipambio,viatu n.k Lkn nina shule tayari hapa ambayo inatakiwa kuisha 2014.

NIMESHAFANYA MENGI KWA SABABU YA WATU WANAONIZUNGUKA NI WAKATI WA KUJARIBU KUFANYA ANGALAU HILI MOJA TU KWA AJILI YANGU. SIJUI NI LINI LKN NAJUA NTAFANYA TU (BIASHARA VS SHULE).

Until next tym
xoxo
Boss chick




 

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS