RSS

Weeeeeeeeemaaaa.... kama mamtoni vile

Siko kimahusiano zaidi.....sijui urafiki wala mapenz, hila nimeguswa na jinsi walivyotokelezea tu. Km mamtyoni vile.

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

NO MOTHER SHOULD HAVE TO BURY HER CHILD.........RIP KYLE GLOVER

Mama yake alitweet hii picha wiki mbili kabla ya ajali "My favorite 11yr old human! Brainiac, artist, chef... My most helpful son. He goes the extra mile 4 his mom ♥"
Kyle na baba yake mzazi... Ryan Glover

Kyle na wadogo zake wawili ambao ni watoto wa Usher Raymond

Kyle na Usher

Tameka na Usher Raymond kortini mwezi uliopita


 Picha zinaeleza zaidi ya maneno, nimeipost hii kmmzazi tu na si zaidi. niliifatilia kwa ikaribu sana hili sakata la mtoto wa ex-wife wa Usher Raymond, Tameka  kupata ajali na baada ya kufikishwa hospital madaktari walisema kuwa ubongo wake umekufa. Ubongo kufa ni sawa na kufa endapo angekuwa huku nchi zetu kwa kuwa hakuwa na uwezo wa kurespond kwa kitu chochote lkn kwa msaada wa technolojia huko kwao mama yake hakutaka kukubali kushindwa na kukata tamaa haraka, akaamua awekwe kwenye life support ili kwa msaada wa machine asubiliwe uenda akaja kurespond.

Sehemu ya kwanza ya maumivu ni kwamba ajali ilitokea Tameka(mama mtoto) akiwa nje ya mji wanaoishi ambapo ndipo ajali ilipotokea. Hila licha ya ugomvi wake mkubwa na Ex-husband wake Usher Raymond juu ya kugombania full custody ya watoto wao wawili waliowazaa katika ndoa yao, aliweza kumkodishia Tameka ndege ili aweze kumuwahi mwanae (mtoto wa Tameka kwa mumewe mwingine wa zamani) hospital.

Sehemu ya pili ni baada ya madaktari kuthibitisha kuwa ubongo wa mtoto umeshakufa, na hata watu kuanza kumtumia salamu za rambirambi alikubali akae na mwanae kwenye hizo machine kwa siku 14  kuangalia km atapata nafuu. Maumivu siku 14 mfululizo.

Sehemu ya tatu ni leo baada ya kukubali kushindwa na kukubali mwanae apumzike kwa amani kwa kuwaruhusu madaktari wamtoe mtoto machine zilizokuwa zinamshikilia ili pambano lake la kurudisha uhai liishie hapo.

Km mzazi hii imenigusa sana, hawa ni mastaa na siwajui hata lkn salamu zangu za pole kwa Tameka na sala zangu nyingi juu yake na familia yake kwa ujumla. Maumivu ya kupoteza mtoto si ya kuelezeka.



  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

Ingizo jipya.......... STARS AND STRIPES


Baada ya stipes zikaja stars mwishoni ikazaliwa hii stars and stripes, na kali zaidi hii ni stripes na stars ndio muundo  wa bendera ya nchi ta Marekani (na juzi juzi imewasaidia sana kung'ara na kuiwakilisha nchi yao wakiwa wanasherekea siku yao ya uhuru 4th july)


Black,red and white stars


Black and white

Bendera ya Marekani a rangi zake halisi,red,blue and white

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

Mtoto mzuri WEMA SEPETU ndani ya mpambano na Jackline Wolper

Awwwwwwwww! hakuna mabeeeeefffff

Jikoti hapo juu, hii ni ishara ya kujiamni,sijawahi ona wengi wakiivaa hii bongo

Bondia mrembo sijawahi ona

Matching hair colour.............. friendship.com

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

Rihanna msibani........ kupendeza kama kawa



Rihanna akielekea kweney huduma ya mazishi ya bibi yake kipenzi, majonzi na kupendeza kama kawa. Pole kwa msiba lakini bibie UMETOKELEZEA

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS