RSS

That Chrianna Love Is Still Strong


Isingekuwa wapambe kukuza mambo labda wangekuwa wamesharudiana. Watu wanaamini wapenz wanagombanaga jamani.

Aya hapo sasa mtu na mkwewe (Rihanna na mama Chris Brown)

Aya sasa sikiliza na hiki kibao -SHE AIN'T YOU cha Chris Brown
http://www.youtube.com/watch?v=7V2GzYcRK9E

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

KAREN'S 3RD BIRTHDAY


                                                  









May the laughter,love and happiness be in your heart today and may you know you will always mean much more than words can say.
                       YOU ARE THE BEST DAUGHTER ON THE PLANET
                                   HAPPY BIRTHDAY TO YOU
                         
With love
Mama

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

MY GRADUATION PART 2

Ashukuriwe Mungu Muumba wa mbingu na nchi kwa maana bila yeye nisingekuwa hivi.Hakika yeye ni mkuu na hakuna lisilowezekana kwake.Namshukuru sana kwa uhai,afya,utashi,nguvu na zaidi kwa zawadi  ya familia.

Pili,niwashukuru wazazi wangu kwa yote waliyonifanyia tangu nazalia hadi leo,baba kwa kuwa msaada wangu mkubwa na muhimizaji muhimu kuhusu swala zima la shule.Asante ya mama inaweza jaza kurasa na wala hakuna neno linalotosha kubeba ukubwa wa shukrani yangu kwako.Umenizaa,umenitunza,umenilinda na kunipigania. Umefurahi nami kila nilipofurahi,ukawa nami hasa siku nilizokuwa chini na hata pale nilipoanguka na kuonekana si kitu mbele ya walionizunguka ulinishika mkono na kwa ujasiri usio kifani ukaniinua.Ni mengi sana kwa kuyaelezea hila kwa chochote kizuri nilichonacho sasa au km kitakuwa kizuri zaidi baadaye nitazidi kuwashukuru

Tatu ni kwa mdogo wangu wa pekee Neema, ukuu wa Mungu unazidi kujidhihirisha kwangu kwa kunipa wewe kuwa sehemu ya maisha yangu.Hakuna ninalofanya nikitegemea kuwa peke yangu kwa maana najua u pamoja nami kwa kila kitu na kila hali,wewe ni shabiki wangu namba moja na nashukuru sana kwa muda wako wa knisikiliza mambo yangu hata kama mengine huwa ni ya kipuuzi.Asante kwa kusikiliza na kusupport ndoto zangu na kubwa zaidi kwa kuwa mama kwa mwanangu.

Nne kwa marafiki,ndugu zangu na hata majirani zangu.Ahsanteni nyote kwa furaha,maoni na hata changamoto mlizoleta katika maisha yangu.Hakika kila mmoja wenu ana nafasi yake ya kipekee kwangu na nawapenda sana bila kujali mambo yenu na matokeo yake katika maisha yangu.

Mwisho kabisa iwe shukrani ya pekee kwa binti yangu Karen,wewe ni maana halisi ya neno Maisha kwangu.Asante kwa kuwa mvumilivu na muelewa, kutoniona nyumbani kwa kipindi kikubwa katika malezi yako si kitu cha kawaida.Asante kwa kuwa mwanga mpya wa maisha yangu na mpaka mkubwa kwangu dhidi ya ukataji tamaa.Kwa ajili yako ntafanya yooooote ninayotaka na kuhakikisha unapata maisha mazuri.

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

MY GRADUATION DAY PART 1 TAR 25 NOV 2011

Maandalizi,tayari kwa kuvaa joho



                                         

                                      

Add caption
Degree yake moja na nusu yangu namuongezea,alikuwa msaada wa kipekee kipindi chote nilichokuwa shule.Adha ya kutafuta material sikuijua mie.Lkn na kwa kunifokea eheeeee

Zawadis mapeemaaa

Muda wa kutunukiwa........kwa pamoja kibongobongo

                                      

                                         
Shostito wa ukweliiiii

Hakuna kama huyu kwangu

BFF's

Mmoja wa wadogo zangu,degree yake naye inakuja,soon soon

Me na yy marafiki long time kitambo

                                                                                  
Wadogo zangu wanaosoma IFM

Kutembea na high heels kipaji jamani

Furaha iliyoje,kwa yote niliyopitia naye hatimaye leo nimefikia hapa




With the love of my life

Cake..........Yummy

Baraka ya watoto,hata sikujua walitokea wapi

Safari ya kurudi kwangu kisha Nyumbani lounge
 

Me and my dadas.........LAFamilia

hapa na shemeji @ Nyumbani Lounge


My lovely dadas wakiyarudi. Chezea Machozi band wewe!

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS