Maandalizi,tayari kwa kuvaa joho |
Add caption |
Degree yake moja na nusu yangu namuongezea,alikuwa msaada wa kipekee kipindi chote nilichokuwa shule.Adha ya kutafuta material sikuijua mie.Lkn na kwa kunifokea eheeeee |
Zawadis mapeemaaa |
Muda wa kutunukiwa........kwa pamoja kibongobongo |
Shostito wa ukweliiiii |
Hakuna kama huyu kwangu |
BFF's |
Mmoja wa wadogo zangu,degree yake naye inakuja,soon soon |
Me na yy marafiki long time kitambo |
Wadogo zangu wanaosoma IFM |
Kutembea na high heels kipaji jamani |
Furaha iliyoje,kwa yote niliyopitia naye hatimaye leo nimefikia hapa |
With the love of my life |
Cake..........Yummy |
Baraka ya watoto,hata sikujua walitokea wapi |
Safari ya kurudi kwangu kisha Nyumbani lounge |
Me and my dadas.........LAFamilia |
hapa na shemeji @ Nyumbani Lounge |
My lovely dadas wakiyarudi. Chezea Machozi band wewe! |
0 comments:
Post a Comment