RSS

NIMERUDI TENA

Habari zenyu banaaa
Nabisha hodi kwa mara nyingine tena baada ya kuwa kimya kitambo kidogo.Ni michakato ya hapa na pale ndio ilinificha,katika maisha yangu kwa kipindi kidogo kilichopita kitu cha kwanza kabisa kilikuwa shule hvyo ilinilazimu kuchukua muda wa utulivu ili niweze kufanya vizuri mitihani yangu ya mwisho.Namshuru sana Mungu nimemaliza salama japo kama wasomi mjuavyo kuna jiwe la supp ambalo nami nimejikwaa,hope kwa sala zenu na juhudi zamu nitatoka.

Ni mengi yamenipita lknkizuri ni hiki,wakati narusha hii blog sikuwa najua kama kuna watu wanaitembelea lkn baada ya kuwa kimya kwa muda fulani nikapata msg kutoka kwa mtu akiniuliza kuhusu ukimya wangu na kuwa  anaipenda hii blog.Asante sana mdau na ntajitaidi kadri ya uwezo wangu kuwa active muda wote


Nashukuru  tena na tena na naomba tuendelee kuwa pamoja. Nakaribisha ushauri pia


xoxo
Bossy Chick

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 comments:

Post a Comment