RSS

PROUD MOM

Haijalishi ilikuwa mapema,au kimakosa,kukuzaa wewe was the best thing i've ever done. Am very proud of you na natazamia mafanikio mengi makubwa kwako.
Sikuwepo nyumbani kushuhudia wakati unaanza shule (baby class) kwa sababu nami nilikuwa chuoni lakini namshukuru Mungu nimeshudia siku ya kwanza unavyoingia middle class.Ni furaha ilioije . Thanx to bibi kwa kuwa nawe siku  zote

Kisses to you na bibi

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 comments:

Post a Comment