RSS

HARUSINI









 



  

Mimi mwenyewe

Kudeka popote

Hizo picha za mwanzo zimenishinda kuzigeuza jamani,kila nikiapload tena nakuta zimejiweka hvyo.Ilikuwa na harusi ya rafiki yangu,na ni mtu maalumu sana kwangu.Huyo mkaka alikuwa nanibeba na gari lake kunileta kazini tangu mimba ya mwanangu ikiwa ndoooogo mpaka naenda kujifungua

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 comments:

Post a Comment