RSS

R.I.P WHITNEY HOUSTON

Tuyaangale mapenzi kwa jicho la tatu, mtu anayekupenda hawezi kukubali kukuangamiza au kukuona unaangamia. (km inavyooaminika kuwa aliyekuwa mumewe Bobby Brown ndio sababu ya Whitney kuingia kwenye janga la madawa ya kulevya)

Pole kwa bintiye,mama na familia yake kwa ujumla

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 comments:

Post a Comment